Jul 12, 2012

Welcome Note

Wedding Spot ingependa kuwataarifu Ndugu,jamaa,marafiki na wadau wote kua tumeshafungua rasmi na tuko operational.tunapatikana Kinondoni makaburini opposite na Dar es Salaam Pentecostal church (DPC) karibu na barclays bank Kinondoni.

Karibuni sana mjioneee magauni ya harusi na accesories za ukweli na tunatoa pia wedding Planning advice for free,

 utapata kila utakacho na kwa kifupi tupo hapa kutimiza ndoto yako na kufurahia siku yako.


Tunapatikana kwenye namba +255 782 496671/ +255 754 667724

Karibuni sana Wedding Spot na hutojutia kututembelea.

1 comment:

  1. beautiful!!! i love ur shop.. thanx Mya..

    ReplyDelete